Wapendwa wanasihi wenzangu nikiwa kama naibu waziri wa wizara ya maadili, jinsia na dini
napenda kuwatangazia kuwa tarehe 10 februari 2013 kutakuwa maombi maalum
kwa ajili ya kuombea nchi, chuo chetu, maisha yetu tuwapo chuoni na mitihani yetu ambayo itaanza tarehe
18 february 2013. Maombi yatafanyika katika ukumbi MWAKASYUKA (old cumpus).Watu wa dini zote mnakaribishwa.Ukisoma tangazo hili mtaarifu na mwenzio.
MUNGU AWABARIKI
BY JOHN ELINA TEKU /BEDCP/101496
No comments:
Post a Comment