Friday, February 15, 2013



UKISHAAMUA KUWA NA NYUMBA NDOGO; CHUKUA MWONGOZO HUU.

Zifuatazo ni kanuni na ukizifuata hutopata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo kwenye nyumba ndogo;
1.      Nyumba ndogo ni lazima iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe,akileta dharau au kujifanya anamrusha roho wife UNAPIGA CHINI FASTA.Hii ni kaanuni ya kwanza na muhimu na ndio mwongozo.
2.      Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife..ikiwezekana huduma zion gezeke home,ili wasihisi chochote hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa kipato basi jitahidi chakula cha usiku lakini ikiwezekana vyote bora zaidi.
3.      Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora kuliko mkeo hata kama amekukoleza kupits maelezo hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo nay eye achukue nafasi hata kama ni ivyo..usioneshe ivyo iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo.
4.      Usimtambulishe nyumba ndogo waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za kifamilia hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless wewe na mkeo mpo kwenye process ya talaka officially…akijitia kimbelembele kujitambulisha mwenyewe piga chini fasta.
5.      Usianze ‘kuinvest’ mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha..ukiona nyumba ndogo ni gold digger unapiga chini fasta.
6.      Nyumba ndogo ussipe majukumu ya mke..kwa njia yeyote ile,kazi ya nyumba ndogo ni kukuburudisha na kustarehe na  wewe tu.
7.      Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika.Ikiwezekana imzidi wife ili mkeo akigundua awe mpple,ukichukua mwanamke mbovu,wife atakudharau.
8.      Kwa wanaopenda kuhonga,ukiohnga gari nyumba ndogo hakikisha wife analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home,sio wife anahangaika na daladala nyumba ndogo umeinunulia gari.
9.      Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo..tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo ili hata zogo likitokea watakutetea.
10.  Nyumba ndogo sio wife,usilete wivu kupita kiasi uikona uaminifu hakuan piga chini kimyakimya sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.

No comments:

Post a Comment